JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

‘Walipa kodi Pwani watoa mapendekezo kupunguza utitiri wa kodi’

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Baadhi ya wadau walipa kodi Mkoani Pwani, wametoa mapendekezo kwa Serikali kusaidia kupunguza utitiri wa kodi na ushuru ili kulinda mitaji yao na kujipatia faida kulingana na biashara zao. Aidha, wameomba Serikali iweke mazingira bora…

Barabara za ndani Jiji la Arusha zapata mwarobaini

Na Zulfa Mfinanga, Jamhuri Media, Arusha Watendaji wa Halmashauri ya Jiji la Arusha wametakiwa kuwa wazalendo katika matumizi sahihi ya mitambo mipya iliyonunuliwa kwa lengo la matengenezo ya barabara za ndani ya jiji ambazo hazina viwango vya TARURA. Akizindua mitambo…

Wadau wakutana Arusha kujadili masuala mbalimbali ya nishati

Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha Wadau mbalimbali wa nishati kutoka ndani na nje ya nchi wamekutana mkoani Arusha kwa lengo la kujadili namna bora ya kuboresha sekta hiyo na kuweza kuweka mikakati ya pamoja katika kufikia malengo ya Dira ya…

ACT Wazalendo yaguswa kusitishwa kwa misaada ya afya na Serikali ya Marekani

ACT Wazalendo imeguswa na uamuzi wa Serikali ya Marekani kusitisha kwa muda kwa mikopo na ruzuku za kusaidia huduma za afya Duniani, hatua inayoweza kuathiri mamilioni ya Watanzania waliowekwa kwenye utegemezi wa huduma za afya zinazofadhiliwa na mashirika ya nje….

Tanzania yaahidi kuendeleza ushirikiano na Burundi sekta ya nishati

📌Burundi yaipongeza Tanzania kwa mafanikio ya nishati 📌Wampongeza Rais Samia kudumisha amani nchini Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Serikali imeahidi kuendelea kushirikiana na nchi ya Burundi katika nyanja mbalimbali za maendeleo ikiwemo sekta ya nishati….