JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Baada ya onyo kali la DC Kaslida, wafugaji aondoka Same kwa hiari

Na Ashrack Miraji, JamhuriMedia, Same WAFUGAJI wanaoishi nje ya wilaya ya Same ambao walikuwa wameingiza mifugo yao ndani ya wilaya hiyo katika vijiji vilivyopo kata ya Vumari bila kuwa na kibali wameanza kutii agizo la Mkuu wa wilaya hiyo, Kasilda…

Dk Jingu awataka wajasirimali kuongeza ubunifu kufikiasoko la kimataifa

Na WMJJWM- Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. John Jingu, amewataka wajasiriamali nchini kuongeza ubunifu katika uzalishaji wa bidhaa zao ili kupanua soko na kufikia ushindani katika soko la…

Maandalizi Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi wanachama Jumuiya EAC waanza

……………………………………………. Mkutano Maalumu wa 59 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umeanza katika Makao Makuu ya Jumuiya jijini Arusha, ikiwa ni maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya hiyo unaotarajiwa kufanyika…

Prof. Shemdoe : Tengeni siku maalum kusikiliza kero za wananchi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa -TAMISEMI Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amewaelekeza Wakuu wa Mikoa wote nchini kuzisimamia Halmashauri zao kuhakikisha zinaweka siku maalum ya kusikiliza…