JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Waziri Mkuu asisitiza matumizi ya nishati safi kwa Watanzania

*Awataka Wana-CCM kujiandaa na Uchaguzi Mkuu *Asema Wana-CCM wanaowajibu wa kueleza kwa watanzania utekelezaji wa Ilani  WAZIRI MKUU, amewasisitiza Watanzania wote kushirikiana na Serikali kuweka mkazo kwenye matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa kubadili utaratibu za kupika chakula ili…

Naibu Waziri Mkuu wa Namibia Awasili nchini

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa wa Ujenzi na Uchukuzi wa Jamhuri ya Namibia Mheshimiwa John Mutorwa, amewasili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati.Mkutano huo wa Wakuu wa Nchi za…

Rais wa Benki ya Dunia awasili Dar

Rais wa Benki ya Dunia (WBG), Bw. Ajay Banga amewasili nchini kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati utakaofanyika tarehe 27 hadi 28 Januari 2025.Mkutano huo utakaofanyika katika ukumbi wa Mikutano Julius Nyerere, jijini Dar…

NEMC yaipongeza EACOP kwa kuhifadhi ikolojia ya Mto Sigi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Usimamizi la Mazingira la Taifa (NEMC) imeupongeza uongozi wa kampuni ya Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kwa kulinda ikolojia ya Mto Sigi na kuhifadhi mazingira katika…

Kamati ya Bunge yaipongeza Serikali ujenzi wa vivutio vipya vya kujazia gesi kwenye magari CNG

📌 Kituo mama cha CNG katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuhudumia magari 1,200 kwa siku 📌 Serikali yaendelea kuhamasisha Sekta binafsi ujenzi wa vituo vya CNG Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali kupitia Shirika la Maendeleo…

Rais wa Benki ya AfDB awasili nchini

Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinwumi Adesina, amewasili nchini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati, utakaofanyika tarehe 27 hadi 28 Januari 2025 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha…