JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Haya hapa matokeo kidato cha nne 2024/2025

HAYA HAPA MATOKEO KIDATO CHA NNE 2024 GUSA CHINI https://matokeo.necta.go.tz/results/2024/csee/CSEE2024/CSEE2024.ht Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya watahiniwa 557,796 ya mitihani ya kidato cha nne iliyofanyika mwezi Novemba mwaka 2024, ambapo wasichana…

Trump apanga kuwekeza katika akili mnemba

RAIS wa Marekani, Donald Trump, ametangaza uwekezaji mkubwa katika sekta ya akili bandia, ambapo mradi huu unatarajiwa kugharimu dola bilioni 500 katika kipindi cha miaka minne ijayo. Trump alieleza kuwa utekelezaji wa mradi huu utatoa nafasi za ajira laki moja…

TMA: Mwaka 2024 umevunja rekodi kwa kuwa na joto kali duniani

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imesema mwaka uliopita 2024 umevunja rekodi kwa ongezeko la joto duniani likiongezeka kwa nyuzi joto 1.55. Akizungumza kwenye warsha ya wanahabari juu ya Utabiri wa Mvua…

Diaspora kushirikiana na Serikali kuchangamkia fursa

Watanzania wanaoishi Jamhuri ya Czech wameahidi kushirikiana na Serikali kuchangamkia fursa zinazopatikana katika nchi hiyo kwa manufaa ya nchi na wananchi. Ahadi hiyo wameitoa Januari 18, 2025 walipofanya kikao na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,…

Noti mpya za fedha kuanza kutumika Februari 1,2025

Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emanuel Tutuba amesema kuwa Noti Mpya za Tanzania zenye Saini ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) na yeye mwenyewe, za toleo la mwaka…