JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani, Mtandao wa Polisi wanawake Songwe watoa faraja kwa wagonjwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Songwe Katika kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, inayoadhimishwa kote ulimwenguni kila ifikapo Machi 08, 2026, Mtandao wa Polisi Wanawake Mkoa wa Songwe (TPF NET) kwa kushirikiana na wanawake wa majeshi mengine mkoani humo, wametembelea…

RC Chalamila : Wamachinga ondoeni dhana ya kufukuzwa Kariakoo bali tunafungua barabara

‎ Na Mwandishi Wetu, JamhuriMediaDar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka Wamachinga kuondokana dhana ya kuwa Serikali inawafukuza maeneo ya biashara ila sehemu ya kuhakikisha wanafungua Barabara zinapitika na usafiri wa umma hauathiriwi ili…

Waziri Kombo atembelea miradi ya maendeleo Arusha

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Masharik, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ametembelea Miradi ya maendeleo inayotekelzwa na Wizara yake na taasisi zilizo chini ya Wizara jijini Arusha. Miradi hiyo ni pamoja na ujenzi wa Ukumbi…

Senyamule kuzindua Kliniki Maalum ya kutatua kero za wananchi Dodoma

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule ametangaza kuanza rasmi kwa kliniki maalum ya kutatua kero za wananchi, ikiwa ni utekelezaji wa maelekezo ya viongozi wa juu wa Serikali. Akizungumza leo Machi 2,2026 Jijini hapa kuhusu mpango…

NHIF kuelekea Siku ya Wanawake Duniani, yatoa faraja kwa wafungwa Gereza la Isanga Dodoma

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), unashirikiana na Serikali katika kuboresha maisha ya Watanzania kupitia uhakika wa matibabu kwa utaratibu wa bima ya Afya. Mfuko pia unawajibikaji kwa jamii (corporate Social responsibility). Katika…