JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Lissu ametoa taarifa za uongo, sijatoa rushwa popote – Naftal

Na Isri Mohamed, JamhiriMedia, Dar es Salaam Mratibu wa Kampeni wa Freeman Mbowe, anayegombea nafasi ya uenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Daniel Naftal amesikitishwa na tuhuma zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu zikimtaja kuwa alikamatwa…

Rais Samia aongoza kikao cha Kamati Kuu kuelekea mkutano mkuu maalumu wa CCM

Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo wanaanza kikao chao cha siku mbili ambacho pamoja na mambo mengine watakupiga kura ya kujaza nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara. Nafasi hiyo iliachwa wazi na Abdulrahman…

Shirikisho la Waandishi wa habari Afrika Mashariki laanzishwa kutetea haki za wanahabari

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigali Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki (FEAJ) limeanzishwa ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi katika vyombo Afrika Mashariki na kuchagua viongozi wapya. Shirikisho hilo limeanzishwa na viongozi wa vyama vya vya…

TLSB: Serikali mwaka huu itatenga fedha nyingi za ununuzi wa vitabu vya ndani

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI katika mwaka huu wa fedha 2025/2026 imetenga bajeti kubwa ya ununuzi wa vitabu vya ndani kama mkakati wa kuhamasisha waandishi na wachapishaji wa vitabu katika kukuza maarifa. Hayo yalisemwa jana jijini Dar…