JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Tanzania, Uganda kuendelea kuimarisha ushirikiano

📌 Ni katika kuendeleza Sekta za Mafuta na Gesi 📌 Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi wafikia asilimia 47 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio amesema nchi za Tanzania na Uganda zitaendelea kushirikiana katika uendelezaji wa miradi…

Zaidi ya bilioni 10 skimu ya umwagiliaji Masimba kunufaisha wakulima 24,000 Singida

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba ambaye ni mbunge wa Iramba Magharibi ameipongeza Wizara ya Kilimo kwa kuendelea kuboresha sekta ya kilimo nchini kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji kwani hatua zinazochukuliwa zitaboresha maisha ya…

Wananchi Babati wamshukuru Rais Dk Samia kuwafungulia barabara

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Manyara Wananchi wa Kata ya Babati wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa madaraja saba (7) pamoja na kufungua barabara katika kata hiyo ambapo kwa kipindi kirefu wamekuwa wakipata…

Mil. 455/- kusambaza mitungi ya gesi 22,000 Tabora

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umetoa kiasi cha shilingi milioni 455.7 kwa ajili ya kusambaza mitungi ya gesi ipatayo 22,785 mkoani Tabora ukiwa na lengo la kuhamasisha na kuchochea matumizi ya nishati safi ya kupikia…

ACT – Wazalendo yawahimiza wananchi kuchagua viongozi wanaowajibika

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amewataka wananchi kuwachagua viongozi wa chama hicho katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa ili kuhakikisha upatikanaji wa huduma bora za kijamii katika vijiji na vitongoji. Akizungumza katika…