JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Wakili Mahinyila achaguliwa mwenyekiti BAVICHA

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakili Deogratius Mahinyila mechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Chadema ( BAVICHA ) Taifa, leo Januari 14, 2025. Mahinyila ametangazwa katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam, muda mfupi baada…

Maliasili, Mambo ya Ndani zatakiwa kushirikiana kukuza utalii

Na Happiness Shayo, JamhuriMedia, Dodoma Wizara ya Maliasili na Utalii imetakiwa kushirikiana kwa ukaribu na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika kukuza soko la utalii nchini na kurahisisha utoaji wa huduma ya viza kwa watalii. Hayo yamesemwa leo…

Naibu Waziri Maryprisca Mahundi amuonya diwani kutopotosha umma

NAIBU Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhandisi Maryprisca Mahundi amemuonya Diwani Faustin Shibiliti wa Kata Igalula kutopotosha umma juu ya mkataba wa uwekezaji wa mnara katika kata hiyo ambapo ina minara miwili ya Vodacom na Halotel. Mhandisi Maryprisca…

Wawili wauwa katika ugomvi wa kugombea ardhi Mbarali, watatu mbaroni

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Mbeya WATU watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya watu wawili wakazi wa Kata ya Igurusi wilayani Mbarali na kujeruhi watu wengine watano wilayani humo kutokana na ugomvi wa kugombea ardhi…

TMA yatoa taarifa ya uwepo wa kimbunga Dikeledi

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya uwepo wa kimbunga ‘DIKELEDI’ katika Bahari ya Hindi mwambao wa pwani ya Msumbiji. Mifumo ya hali ya hewa inaonesha kuwa kimbunga hicho kwa sasa kipo katika mwambao wa pwani ya…