Category: MCHANGANYIKO
Mkurugenzi Manispaa Shinyanga atunukiwa shahada ya heshima ya udaktari, ateuliwa balozi wa amani Duniani
Na Dotto Mwaibale, JamhuriMedia, Shinyanga Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, Mwalimu Alexius Revocatus Kagunze, ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari (Honoris Causa) katika Ustawi wa Jamii na Uongozi wa Biashara kutoka Christian Ministerial Training University (CMTU) ya…
Mega Copper yaongeza thamani shaba
Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro MKAKATI wa uongezaji thamani katika Sekta ya Madini umeanza kuzaa matunda mkoani Kilimanjaro, baada ya kampuni ya Mega Copper Co Ltd kujikita katika uongezaji wa kiwango cha ubora wa madini ya shaba kutoka asilimia moja hadi…
Dk Mwigulu azindua stendi ya mabasi ya Dk Samia Hanang
*Ataka fedha zitafutwe kujenga barabara ya Katesh – Babati *Akataza watendaji kuchukua bidhaa za wajasiriamali wadogo WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amezindua Stendi ya Mabasi ya Dkt. Samia Suluhu Hassan iliyopo Katesh, wilayani Hanang, mkoani Manyara ambayo imejengwa kwa gharama…
Waziri wa Fedha aitaka TRA kuchangia utekelezaji Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050
Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), ameiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania-TRA, ijipange ipasavyo kuhakikisha kuwa inachangia upatikanaji wa rasilimali fedha kwa ajili ya kufanikisha utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa…
Dk Chang’a afanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO)
Geneva, 27 Februari 2026 Katibu Mkuu wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (World Meteorological Organization – WMO) Prof. Celeste Saulo ameahidi kuendelea kushirikiana na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) katika kuboresha huduma za hali ya hewa kwa…





