Category: MCHANGANYIKO
Wananchi wampongeza Rais Samia kufikisha umeme vituo vya afya vijijini
Wananchi katika Wilaya ya Uyui, mkoani Tabora wamempongeza na kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kufikisha umeme kwenye vituo vya afya vijijini. Wamesema kuwa kufika kwa umeme kwenye vituo vya afya vijijini…
Maria Sarungi atekwa Nairobi
Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Amesty International nchini Kenya limeripoti kutekwa kwa Mwanaharakati na Mtetezi wa Haki za Binadamu Mtanzania Maria Sarungi Tshehai leo katika eneo la Kilimani jijini Nairobi Nchini Kenya. Taarifa ya Shirika hilo imesema watekaji…
Ulega atoa miezi mitatu daraja Lukuledi likamilike
WAZIRI wa Ujenzi Abdallah Ulega ametoa miezi mitatu kwa Mkandarasi M/s China Railway 15 Bureau Group Cooperation anayejenga Barabara ya Nachingwea-Ruangwa-Nanganga (KM 106), kukamilisha ujenzi wa daraja la Lukuledi. Agizo hilo amelitoa leo wakati akikagua Barabara na Madaraja katika barabara hiyo…