Category: MCHANGANYIKO
Rais Mwinyi azindua boti za kusafirisha wagonjwa
Msaidizi Mkurugenzi wa Benki ya Dunia Tanzania Melina Stefano akitoa salamu za Benki hio katika hafla ya Uzinduzi wa Boti za Kusafirisha Wagonjwa (Ambulance Boat)Verde Hotel Maruhubi Zanzibar.
Majaliwa: Tanzania kukuza na kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na EU
Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kukuza na kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na uwekezaji na nchi za Umoja wa Ulaya (EU). Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alisema hayo katika ofisi ndogo ya Waziri Mkuu ya Magogoni, Dar es Salaam jana alipozungumza na…
Dk Biteko ampongeza mwanafunzi aliyeelezea miradi ya umeme
Amuahidi kutembelea mradi wa Julius Nyerere Na Josephine Maxime, JamhuriMedia, Dar es Salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mheshimiwa Dkt. Doto Biteko ameagiza mwanafunzi Mirabelle Msukari na wenzake wa Shule ya Msingi Sun Rise iliyopo Wilayani Kinondoni jijini…
Amuua mkewe, mtoto chanzo kikidaiwa ni wivu wa mapenzi Pwani
Na Mwamvua Mwinyi, JakhuriMedia, Pwani JESHI la Polisi mkoani Pwani, linamshikilia Tanganyika Masele (32), Mkazi wa Kisengile, Kitongoji cha Buduge, Kata ya Marui ,Wilayani Kisarawe, kwa kosa la mauaji ya mke wake (27) pamoja na mtoto mdogo, kwa kile kinachodaiwa…
Papa agundulika na ugonjwa wa homa ya mapafu
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, amegundulika ana ugonjwa wa homa ya mapafu katika mapafu yake mawili na hali yake sio nzuri. Papa mwenye umri wa miaka 88, amekuwa akisumbuliwa na maambukizi ya mfumo wa upumuaji kwa zaidi ya…
Kiwango cha joto kuendelea kupanda kwa miezi mitatu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Utabiri wa hali ya hewa katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), umeonesha kuendelea kupanda kwa kiwango cha joto kwa miezi mitatu ya Januari, Februari na Machi 2025 pamoja na ukame. Mamlaka…





