JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

JJAD Kagera Farmers yamshukuru Rais Samia kwa bei nzuri ya Kahawa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KAMPUNI inayojihusisha na kilimo cha kahawa JJAD Kagera farmers imeishukuru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kusaidia bei ya kahawa kupanda bei hadi kufikia shilingi 1,200 mwaka…

Madaktari nane wa DRC waja kujifunza JKCI

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MADAKTARI nane kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, wanatarajiwa kutembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), kwaajili ya kujifunza namna taasisi hiyo ilivyopiga hatua katika tiba ya moyo na uwekezaji mkubwa…

Breaking News; Basi lagongana uso kwa uso la lori, wanne wafariki

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Vigwaza WATU wanne kati yao wakiwa ni wanawake watatu na mtoto mmoja wamefariki dunia agost 22,2024 saa 8 mchana katika ajali iliyotokea barabara Kuu ya Morogoro eneo la Vigwaza mkoani Pwani. Aidha wapo majeruhi kadhaa ambao…

Dk.Mpango ahitimisha ziara yake kwa kuweka jiwe la msingi ujenzi wa skimu ya BBT

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ameweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Mradi wa Jenga Kesho Iliyobora (BBT) huku akishauri uwepo wa ushirikishwaji wa vyuo vya kilimo katika mradi wa…

Dk Mpango: Uwekezaji unaofanywa na Serikali sekta ya umwagiliaji utamaliza tatizo la njaa nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma MAKAMU wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt.Philip Mpango amesema uwekezaji unaofanywa na serikali katika sekta ya Umwagiliaji unaenda kuandika historia ya kumaliza tatizo la njaa nchini na kulijengea Taifa heshima kupitia…