JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Waziri Mkuu aagoza jedwali la utekelezaji wa utatuzi wa kero za wananchi

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amewaagiza watendaji wa Serikali kuandaa jedwali la kuonesha namna walivyotatua kero za wananchi katika kila wiki ya mwisho wa mwezi. Amesema hayo leo Jumapili (Machi 01, 2026) katika mkutano wa hadhara uliofanyika Stendi za Zamani,…

Rais Samia azungumza na ujumbe wa Taasisi ya Keep a Child Alive kuimarisha huduma za afya

Na Mwandishi Wetu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameanza mazungumzo yake Ikulu jijini Dar es Salaam kwa kukutana na ujumbe wa Taasisi ya Keep a Child Alive inayoongozwa na mwanamuziki wa Marekani Alicia…

Prof. Janabi azindua wodi ya watoto njiti hospitali Wilaya Kwimba, Mwanza

Na George Binagi, Mwanza Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Prof. Mohamed Janabi amezindua wodi ya kwanza na ya kisasa nchini kwa ajili ya watoto njiti, iliyojengwa katika Hospitali ya Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza. Prof. Janabi amefanya uzinduzi…

Jasi yatikisa Same

📍Same SHUGHULI za uchimbaji wa madini ya Jasi katika vijiji vya Ruvu Jiungeni na Makanya, wilayani Same mkoani Kilimanjaro, zimeendelea kushika kasi huku wachimbaji wadogo wenye leseni zaidi ya 200 wakiungana kuimarisha uzalishaji na usimamizi wa rasilimali hiyo muhimu kwa…