JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Majaliwa mgeni rasmi mkutano wa maendeleo ya biashara na uchumi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, anatarajiwa kufungua mkutano wa Tano wa Biashara na Maendeleo ya Kiuchumi (BEDC) 2024) ambao umeandaliwa na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) utakaofanyika Novemba 22, 2024 mkoani Dodoma. Akizungumza…

Kinara wa dawa za kulevya Dodoma anaswa

Na Alex Kazenga, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imemnasa kinara wa kusambaza dawa za kulevya jijini Dodoma; JAMHURI linaripoti. Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo akizungumza na vyombo vya habari Novemba…

Ofisa utumishi na wenzake 11 kizimbani kwa uhujumu uchumi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Musoma MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Musoma, mkoani hapa mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Veronica Mgendi, imefunguliwa Kesi ya Uhujumu Uchumi Namba 32001/2024 ya Jamhuri dhidi ya Ofisa Utumishi wa Wilaya Nico Amanyisye Kayange na wenzake 11….

Leseni za madini zaidi ya 50,000 zatolewa

●Maeneo zaidi ya wachimbaji wadogo kutengwa TUME ya Madini imetoa jumla ya leseni za uchimbaji madini 54,626 katika kipindi cha miaka saba. Kaimu Mkurugenzi wa Leseni na Tehama Mhandisi Aziza Swedi amesema katika kipindi cha kuanzia 2018/2019 hadi Septemba 30,…

CCM: Tunawaomba wagombea wetu waliokatwa kuwa wavumilivu

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amewaomba wanachama katika maeneo ambayo wagombea wa CCM wamewekewa mapingamizi, kuwa watulivu kwani chama kinaamini haki itatendeka kwa vyama vyote. CPA Makalla aliyasema hayo…

Mali zilizotokana na dawa za kulevya zataifishwa Zanzibar

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Zaidi ya sh. 900,000,000 zimetaifishwa na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar na kuwa mali ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kutokana na kupatikana kwa njia ya haramu. Akitoa taarifa kwa…