JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Serikali kuchukua mashamba,viwanda visivyoendelezwa

Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Media-Korogwe Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wizara ya Kilimo na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kufanya kazi ya kupitia mikataba ya mashamba yote ya mkonge ambayo hayaendelezwi ili yarudishwe…

Polisi waeleza kwa kina mwanafunzi aliyetekwa na kunyongwa, watekaji wataka mamilioni

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya SEPTEMBA 14, 2025 liliripotiwa tukio la kutekwa nyara kwa Shyrose Michael Mabula (21) aliyekuwa mwanachuo mwaka wa kwanza katika Chuo Kikuu cha Mzumbe ndaki ya Mbeya Kitivo cha Sheria na watu wasiofahamika, ambapo Septemba 16,…

Mgombea urais CCM ahaidi kufungua ukanda wa kaskazini kiuchumi, kukamilisha miradi ya kimkakati

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kukamilisha ujenzi wa daraja la Pangani na barabara ya Bagamoyo–Saadani–Pangani–Tanga, akisisitiza kuwa miradi hiyo ni ya kimkakati kwa kufungua ukanda wa…

Dk Samia: Tanga kaeni mkao wa kula

Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka wakazi wa Mkoa wa Tanga kukaa ‘mkao wa kula’ kutokana na mipango ya miradi ya maendeleo itakayoufungua mkoa huo. Amesema akipewa tena ridhaa ya kuiongoza…