JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

CCM Tabora wamfariji mjane wa kada aliyejiua

Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora VIONGOZI na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Tabora wametembelea familia ya mjane wa Kada wa CCM Jastin Magembe aliyejiua kwa sumu baada ya mgombea wao kushindwa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Katibu…

NEMC yaonya kelele, uchafuzi wa mazingira wakati wa sikukuu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limeunda timu ya operesheni maalumu ya kufuatilia na kuwachukulia hatua za kisheria wachafuzi wa mazingira na kelele kwenye kumbi za starehe wakati wa…

Israel yakiri kumuua Ismail Haniyeh

Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz amekiri IsraelĀ  kuhusika na mauaji ya kiongozi wa kisiasa wa Hamas Ismail Haniyeh mjini Tehran mwezi Julai. Israel Katz alitoa maoni hayo katika hotuba yake akiahidi kuwalenga wakuu wa vuguvugu la Houthi linaloungwa…

Mwinyi: SMZ itaendelea kuleta mageuzi katika Mahakama

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuungamkono juhudi za Muhimili wa Mahkama zenye lengo la kuleta mageuzi makubwa katika miundombinu ya majengo ya Mahakama. Rais Dk Mwinyi ameyasema hayo alipoweka…

Benki ya Dunia, SADC zampa tano Rais Samia

Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha kwa ajili ya…