JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Serikali ya Hungary yasaini mikataba ya maendeleo Tanzania na kufungua ofisi za ubalozi nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMediaDar es Salaam Serikali ya Tanzania na Hungary, Wamesaini hati ya Mkataba wa hati Mashirikiano kuhusu ujenzi wa Mradi wa Usambazaji Maji kutoka Ziwa Victoria katika Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera. .Hati hiyo ya Makubaliano ni kati…

Samia azidi kumwaga neema,kujenga reli ya Tanga-Musoma, kupanua bandari

Na Kulwa Karedia, Jamhuri Media-Tanga MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema amejipanga kuongeza upanuzi wa Bandari ya Tanga ambao utakwenda sambamba na ujenzi wa reili ya kisasa kutoka Tanga-Arsuha mpaka Musoma yenye urefu wa kilomita…

Samia : Aahidi ujenzi reli mpya ya kisasa Tanga, Arusha hadi Musoma

Mgombea wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, leo ameendelea kuinadi Ilani ya chama hicho kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, huku akitangaza mpango wa kujenga reli mpya ya kisasa kutoka Tanga, Arusha hadi Musoma endapo…

Dk Samia anadi ilani ya chama Tanga Mjini

Wananchi wa Tanga Mjini walijitokeza kwa wingi kushiriki mkutano wa hadhara wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika tarehe 29 Septemba 2025. Katika mkutano huo, mgombea wa urais wa CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan, aliwasilisha na…

Muheza wamwitikia kwa kishindo Dk Samia

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Muheza Ndugu Hamis Mwijuma ‘Mwana FA’ mara…