Category: MCHANGANYIKO
RITA yamaliza mgogoro wa msikiti wa Ijumaa Mwanza
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhani nchini (RITA), umeitaka Bodi mpya ya Wadhamini wa Msikiti wa Ijumaa jijini Mwanza, kujiepusha na ubadhirifu wa mali za msikiti sambamba na kuimarisha mshikamano wa waumini, pamoja na kutolipiza…
Lissu achukua fomu kugombea uenyekiti CHADEMA
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu leo Desemba 17, 2024 amechukua fomu ya kugombea uenyekiti wa chama hicho, katika ofisi za makao makuu ya chama hicho zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam. Baada…
Watuhumiwa 126 wa ukabakaji, ulawiti na usafirishaji dawa ya kulevya wakamatwa
Na Abel Paul, Jeshi la Polisi, Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema hali ya Ulinzi na usalama kwa kipindi cha kuanzia mwezi Octoba, 2024 hadi sasa ni shwari huku likibaiinisha kuwa limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wa ubakaji na usafirishaji…
Aliyekuwa Msajili wa Vyama vya Siasa John Tendwa afariki Dunia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Aliyewahhi kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa, John Bill Tendwa amefariki dunia. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, amesema marehemu Tendwa amefariki leo Desemba 17,…
Majina ya waliochaguliwa kuingia kidato cha kwanza haya hapa
Serikali imetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza katika shule mbalimbali za Serikali nchini mwaka wa masomo 2025. ANGALIA MAJINA CHINI https://mabumbe.com/tamisemi-form-one-selection/#:~:text=Waliochaguliwa%20kidato%20cha%20kwanza%202025%20Dar%20Es%20Salaam
KCMC yapokea bilioni nne kuboresha huduma za saratani
Na WAF, Kilimanjaro Serikali imetoa Shilingi Bilioni Nne (4) kati ya Bilioni 5.2 zinazotarajiwa kutumika kwa ajili ya ujenzi wa kitengo cha kisasa cha tiba ya mionzi kwa ajili ya saratani kwa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC). …