Category: MCHANGANYIKO
Wanne wahukumiwa miaka 30 jela kwa wizi
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nzega Mkoani hapa imewahukumu watu 4 wakazi wa Mtaa wa Maporomoko kata ya Nzega Mashariki kutumikia kifungo cha miaka 30 baada ya kupatikana na hatia ya uhalifu wa kutumia…
Mpina: CCM imepoteza dira, haiwezi kukarabatiwa, ni kama chuma chakavu
Na Pendo Nguka, JakhuriMedia, Dar es Salaam Aliyekuwa mbunge wa Kisesa na mwanasiasa mkongwe kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), Luaga Mpina ambaye kwa sasa ni mgombea urais kupitia tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo ameeleza kuwa amekihama CCM kwa sababu kimeshindwa…
FORLAND yadhamiria kuimarisha mnyororo wa thamani katika misitu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mradi mpya wa Misitu na Matumizi ya Ardhi na Maendeleo ya Myororo wa Thamani (FORLAND) umejizatiti kuhakikisha miradi ya misitu inakuwa na tija kwa wananchi kuanzia hatua ya upandaji hadi mlaji wa mwisho. Mradi huu…
Dk Biteko azindua programu ya ugawaji majiko ya umeme kwa wafanyakazi TANESCO
Lengo ni kuchochea matumizi ya nishati safi ya kupikia Asema matumizi ya umeme kwa ajili ya kupikia ni nafuu zaidi ukilinganisha na mkaa; Wananchi wahamasike Amtaja Rais Samia mafanikio Sekta ya Nishati Awapongeza TANESCO kutekeleza maoni ya Rais Samia kwa…
Mramba: Hatma ya wagombea CCM iko mikononi mwa vikao ngazi za juu
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Pwani kimetoa rai kwa wagombea wa ubunge na udiwani walioongoza katika mchakato wa kura za maoni kuacha kufanya mbwembwe na kutengeneza makundi, na badala yake wawe watulivu kusubiri vikao vya juu…