JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Diwani ahukumiwa miaka miwili jela

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Mahakama ya Wilaya ya Ukerewe imemhukumu Diwani wa Kata ya Illangala Petro Misana Majula, adhabu ya kutumikia kifungo cha miaka 20 jela, baada ya kukutwa na hatia katika makosa ya Ufujaji, Ubadhirifu pamoja na Matumizi…

TNMC : Jamii ifahamu haki na wajibu wa mgonjwa

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma AFISA Uhusiano wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC), Ezekiel Nyalusi amesema ni vyema jamii ikafahamu haki na wajibu wa mteja au mgonjwa pindi anapofika kupewa huduma za Afya katika kituo cha kutolea huduma….

Bodi ya Mkonge kuwaunganisha wakulima na masoko

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam BODI ya Mkonge Tanzania (TSB), imesema kuwa imekuwa ikiwaunganisha wakulima wa zao hilo na masoko ili wapate soko la bei nzuri. Hayo yamesemwa na Mkuu sehemu ya Maendeleo ya Mkonge kutoka TSB, Saimon…

Rais Samia awaalika wawekezaji Kilombero, Malinyi na Ulanga

📌 Ni kutokana na uwepo wa umeme wa kutosha katika kituo cha umeme Ifakara 📌 Asema Serikali itaendelea kuhakikisha uwepo wa umeme wa kutosha 📌 Vijiji vyote 110 Wilaya ya Kilombero vyafikiwa na umeme Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Kilombero Rais…

DCEA: Kilimo cha bhangi na mirungi kinaondoa uoto wa asili

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imesema kuwa moja ya madhara ya Kilimo cha bhangi na mirungi ni kuondoa uoto wa asili. Hayo yamebainishwa na Afisa Elimu kutoka DCEA, Said Madadi…