JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Kamati ya kuchunguza wafanyabiashara wageni Kariakoo yafikia pazuri

…Yaaendelea kuwahoji wafanyabiashara Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KAMATI iliyoundwa na Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Selemani Jafo kuchunguza wafanyabiashara wa kigeni maeneo ya Kariakoo imefikia asilimia 50 ya uchunguzi wake na imeahidi kukabidhi ripoti hiyo Machi…

Wizara yatakiwa kubuni mazao mapya ya utalii kwenye eneo la Amboni

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kubuni mazao mapya ya Utalii ili kuwavutia watalii huku ikisisitiza kwamba inatamani watalii wanaotoka Zanzibar kwenda kutalii katika eneo…

Viwanda vinne vya uongezaji thamani madini kujengwa Dodoma – Waziri Mavunde

▪️Akagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda cha kuchenjua Madini ya Shaba* ▪️Dodoma inaongoza kwa uwepo wa aina nyingi za madini nchini* ▪️Atoa rai kwa Mikoa kutenga meneo maalum ya viwanda vya kuongeza thamani 📍 Dodoma Waziri wa Madini Anthony Mavunde…

Msigwa aipongeza Wizara ya Nishati usimamizi madi wa JNHPP

📌 Asema mradi umefikia asilimia 99.8 📌 Awaasa watanzania kujivunia mradi wa Julius Nyerere Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ameipongeza Wizara ya Nishati kwa usimamizi wa mradi wa kimkakati…