JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

DPP yaondoa mashtaka ya uhaini kwa Niffer, Chavala

Mamlaka ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) imetumia uwezo wake wa kisheria kuiandikia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuondoa mashtaka ya uhaini yaliyokuwa yakiwakabili Mfanyabiashara Jenifer Jovin (Niffer) na Mwanataaluma wa Habari, Mika Chavala. Wakili wa Serikali Titus Aron aliieleza Mahakama…

Rais Dkt. Samia akutana na Naibu Mwenyekiti wa Biashara wa Jumuiya ya Madola na Baraza la Uwekezaji Ikulu jijini Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Naibu Mwenyekiti wa Biashara wa Jumuiya ya Madola na Baraza la Uwekezaji (CWEIC) Lord Hugo Swire, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Desemba,…

Wananchi wa Mabogini Moshi wanufaika na mradi wa Rise kupitia TARURA

Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro Wananchi wa kijiji cha Mabogini, kata ya Mabogini, wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro, wameishukuru Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kupitia mradi wa RISE kwa kuanza kukarabati barabara ya Mabogini–Kahe ambayo kwa miaka mingi ilikuwa…

Bara la Afrika : Tunahitaji wanahabari mahiri kukuza sayansi, teknolojia na ubunifu

Na Veronica Mrema – Pretoria Uandishi wa habari za sayansi kwa umakini na umahiri ni nyenzo muhimu ili kufikisha ujumbe sahihi kwa jamii, kusaidia kukuza maendeleo ya tafiti na vumbuzi mbalimbali. Bara la Afrika bado lina uhitaji mkubwa wa waandishi…

Injinia Mwalugaja aongoza mapinduzi ya uwekezaji Katavi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Katavi Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Katavi, Mhandisi Andrew Mwalugaja, ameendelea kuwa mstari wa mbele katika kuongoza sekta ya madini kwa uwajibikaji, weledi na ubunifu.  ‎Kupitia usimamizi wake, Katavi imepiga hatua kubwa katika kuboresha mazingira…