Category: MCHANGANYIKO
Mawaziri wa Israel waidhinisha ulipizaji kisasi wa Netanyahu dhidi ya Hezbollah
Baraza la mawaziri la usalama la Israel limemuidhinisha hatua ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na waziri wake wa ulinzi ya kuamua ni lini na jinsi ya kulipiza kisasi cha shambulio baya la roketi dhidni ya Israel na Marekani inasema lilitekelezwa…
Sekta binafsi zishirikishwe kikamilifu suala la uhifadhi wa mazingira
Na Stella Aron, JamhuriMedia, Bagamoyo IMEELEZWA kuwa ili kupata matokeo chanya katika utunzaji mazingira na uhifadhi kuna umuhimu mkubwa wa kushirikisha sekta binafsi ambazo zimeonyesha juhudi kubwa la kuleta mabadiliko katika sekta Hayo yalibainishwa wakati wa semina iliyoshirikisha wahariri iliyoandaliwa…
Zaidi ya bilioni 23 kutumika kusambaza umeme Kilimanjaro vijijini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilimanjaro Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imetoa kiasi cha Shilingi Bilioni 23.7 ili kuhakikisha miradi yote ya kusambaza umeme vijijini Mkoani Kilimanjaro inakamilika na kuwapatia wananchi maendeleo ya kiuchumi na kijamii Mkurugenzi wa Umeme…
Utekelezaji mradi ujenzi wa miundombinu ya barabara Njombe wafikia asilimia 88.3 – Injinia Ruth
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe Bajeti ya Matengenezo na Maendeleo ya Barabara katika mkoa wa Njombe kwa Mwaka wa Fedha 2023-24, ni Shilingi Bilioni 11.583, ambapo katika fedha hizo Miradi ya Maendeleo ni Shilingi Bilioni 7.979, Miradi katika Ushoroba wa…
Mhasibu wa Halmashauri Mbarali atiwa hatiani
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbarali Mahakama ya Wilaya Mbarali imemhukumu aliyekuwa Mhasibu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Bw. Joseph Werema Ndimila adhabu ya kulipa faini ya 1,100,000 au kwenda jela mwaka mmoja na ameamriwa kurejesha kiasi cha sh. 4,000,000…