JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

MOI yafungua milango ya tiba kwa wananchi wa Kanda ya Kati

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Wakati changamoto ya upatikanaji wa huduma za kibingwa ikiendelea kuwakabili baadhi ya Wananchi wa mikoa ya pembezoni, Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imechukua hatua ya kuwafuata wananchi huko waliko kupitia huduma za kliniki tembezi,…

Jenerali Mabele: Mafunzo JKT yanalenga kuwajenga vijana kuwa wakakamavu na wazalendo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele amewatoa hofu vijana wanaojiunga na mafunzo ya jeshi kuwa hakuna mateso kwani mafunzo hayo yanalenga kuwajenga kuwa wakakamavu na wazalendo kwa taifa. Mkuu huyo…

Waendelezaji mradi wa kuzalisha umeme Lupali Njombe waelekezwa kuimarisha ulinzi na usalama wa mradi

📌Waishukuru REA kwa uwezeshaji wa zaidi ya shilingi bilioni 4.3 📌Utekelezwaji wake wafikia 97.5% Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu ameelekeza waendelezaji wa mradi wa kuzalisha umeme wa kilowati 317 kwa kutumia maporomoko…

Wasira : Tangu Tanzania ipate uhuru imepata maendeleo makubwa, wasiyoyaona wafanye utafiti

Na Mwandishi Wetu, Katoro MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amesema tangu kupata uhuru Tanzania imepata maendeleo makubwa na kwamba wanaosema hakuna kilichofanyika ni vema wakafanya utafiti kwanza badala ya kuwa kama kasuku kukariri maneno wasiyoyajua….