Category: MCHANGANYIKO
Mnada wa kwanza wa korosho wapata mafanikio Tandahimba, Newala wakulima wamshukuru Rais Samia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara LEO Oktoba 11, 2024, historia imeandikwa katika mikoa ya kusini baada ya kufanyika mnada wa kwanza wa korosho ulioandaliwa na Chama Kikuu cha Ushirika Tandahimba na Newala (TANECU). Katika mnada huo, jumla ya tani 3,857…
Rais Mwinyi: Mafanikio ya utalii yanaitangaza Tanzania Kimataifa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa mafanikio makubwa yaliyopatikana nchini kupitia sekta ya utalii yanayoitangaza Tanzania kimataifa na kuitambulisha duniani kuwa nchi ya kwanza…
Chalamila afurahishwa na Puma Energy kutoa mitungi 100 kwa baba na mama lishe
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema uamuzi wa Kampuni ya Puma Energy Tanzania kutoa mitungi 1,000 ya gesi katika mkoa huo kwa ajili ya kuwapatia Mama Lishe na Baba…
RC Ruvuma awahimiza wananchi kujiandikisha Daftari la Kudumu la Mpiga Kura
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahamed Abbas Ahamed amejiandikisha leo kwenye daftari la kudumu la mpiga kura kwa ajili ya kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma jambo ambalo…
Tume yanadi maabara yake ya kisasa
• Wachimbaji wa madini wataka ifungwe na Kanda ya Ziwa • Waipa Tano utatuzi migogoro ya wachimbaji Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Geita MHANDISI Assa Mwakilembe kutoka Tume ya Madini Sehemu ya Maabara, amewahimiza wadau katika Sekta ya Madini kuhakikisha wanatumia…
Waziri Kombo ahitimisha ziara yake
📌 Afanikiwa kuishawishi Taasisi ya GTK kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Madini Dar es Salaam Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amekamilisha ziara yake ya kikazi ya siku tatu nchini Finland Oktoba…