Category: MCHANGANYIKO
Rais Samia asisitiza umuhimu wa uhuru wa habari
Rais Samia Suluhu Hassan amesisitiza umuhimu wa uhuru wa habari na kuvitaka vyombo vya habari nchini vizingatie mipaka ya uhuru huo. Rais Samia alitoa kauli hiyo jana Ikulu, Dar es Salaam, baada ya kumuapisha Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia…
Majaliwa achangisha milioni 900 ujenzi wa Kanisa Kuu Lindi
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameendesha harambee na kuchangisha sh. milioni 928.67 za ujenzi wa kanisa kuu tarajiwa la Mt. Andrea Kagwa la Jimbo Katoliki la Lindi. Kati ya fedha hizo, sh. milioni 464.3 ni fedha taslimu na nyingine kati ya…
Mahakama yamwachia huru aliyekuwa DED Mafia
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Mafia Mahakama ya Wilaya ya Mafia imemuachia huru mshtakiwa aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Ndugu Kassim Seif Ndumbo baada ya kukosekana ushahidi kufuatia Kesi ya Jinai namba 15768/2024 iliyokuwa ikimkabili. Mahakama imechukua maamuzi…
Biteko ataka huduma bora kwa wananchi
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewakumbusha Watumishi wa Wizara ya Nishati na Taasisi zake kuiishi Kauli Mbiu ya Sekta ya Nishati ambayo ni Maneno Kidogo Vitendo Zaidi ili kutoa huduma iliyobora kwa wananchi. Amesema hayo…
Pwani yapata wauguzi 120 kukabiliana changamoto ya upungufu wa wauguzi
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Pwani MKOA wa Pwani umepatiwa Wauguzi 120 ili kukabiliana na changamoto ya upungufu wa kada hiyo. Hayo yamesemwa mjini Kibaha na Katibu Tawala Mipango na Uratibu wa Mkoa wa Pwani Edina Kataraiya ambaye alimwakilisha Naibu Waziri wa…