Category: MCHANGANYIKO
Wataalam kutoka ofisi za Umoja wa Afrika watembelea TMA
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imepokea timu ya wataalamu kutoka Ofisi za Umoja wa Afrika (AUC) wanaoratibu utekelezaji wa mradi wa kuboresha huduma za hali ya hewa wa “Intra-ACP Climate Services and related Applications Programme (ClimSA)”. Ziara hiyo…
Maadhimisho ya Muungano 2025 kufanyika Kimikoa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amesema Maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka huu yatafanyika Kimikoa ambapo kilele chake kitakuwa Aprili 26, 2025. Amesema tangu…
Vitongoji 82 Tarime vijijini kupelekewa umeme na mradi wa HEP IIB – Kapinga
📌Taasisi 3000 zaunganishiwa umeme na fedha za Covid 19 Vitongoji 82 ambavyo bado havijafikiwa na umeme katika Wilaya ya Tarime mkoni Mara vitapelekewa umeme kupitia Mradi wa Kupeleka Umeme Vitongojini Awamu ya Pili B (HEP IIB) ambapo tayari zabuni ya…
Bunge lapitisha kwa kishindo bajeti ya TAMISEMI Trilioni 11.78 kwa mwaka 2025/2026
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamepitisha kwa kauli moja bajeti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2025/26 yenye takribani Shilingi trilioni 11. 783 kwa ajili ya…
Masauni awataka Watanzania kuendelea kuuenzi, kuulinda Muungano
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhandisi Hamad Masauni ametoa wito kwa Watanzania kuendelea kuuthamini, kuuenzi, kuulinda na kuudumisha Muungano kwa lengo la kusukuma mbele maendeleo ya kiuchumi,…
Zaidi ya bilioni 19 kutumika kwa ujenzi wa barabara, madaraja Manyara – RC Sendiga
Na Mary Margwe, JamhuriMedia, Simanjiro Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Cuthbert Sendiga amesema zaidi ya sh.bil.19 zimetengwa kwaajili ya ujenzi wa kujenga barabara na madaraja katika Halmashauri zote za Mkoa huo. Hayo alizungumza jana wakati akikagua zahanati mpya ya…