JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Waziri Kabudi azindua siku 16 za uarakati za kupinga ukatili Dar es Salaam

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Dalaam WAZIRI wa Sheria na Katiba Profesa Kabudi Palamagamba amezindua rasmi siku 16 za uanaharakati dhidi ya ukatili wa kijinsia wenye kauli mbiu ya kuelekea miaka 30 ya Beijing changua kutokomeza ukatili wa kijinsia….

Mamia wajitokeza huduma za uchunguzi wa macho Hospitali ya Mbagala

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamia ya wakazi wa Mbagala iliyopo Manispaa ya Temeke, Jijini Dar es Slaam, jana wamejitokeza kwa wingi Hospitali ya Mbagala Rangi Tatu ili kufanyiwa uchunguzi wa macho unaofanywa na madaktari bingwa kutoka Hospitali…

Tanzania kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi, kukuza utalii

Tanzania inatarajia kuungana na nchi zaidi ya 50 duniani katika kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi, yanayochangia uharibifu wa mazingira kwa ujumla na wakati huo ikiendelea kukuza utalii. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa Masoko wa Bodi ya Utalii Tanzania Bw….

Polisi yawasaka waliomshambulia mtoto na kumjeruhi Monduli

Naomba Mwandishi Jeshi Polisi Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawatafuta watuhumiwa waliohusika katika tukio la kumshambulia na kumjeruhi mtoto wa kike (16) (jina limehifadhiwa) mkazi wa kijiji cha Nadaale, wilaya ya Longido Mkoani Arusha. Akitoa taarifa hiyo leo…