Category: MCHANGANYIKO
Rais Samia awataka wazazi Simiyu kusomesha watoto
Na Berensi China, JamhuriMedia, Simiyu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka Wazazi nchini kuwapa fursa ya kupata elimu vijana ili waweze ujuzi na kujiajri kutokana na serikali kuwekeza kwa kujenga Shule za Msingi, Sekondari…
Tume ya Madini yazidi kunadi fursa za uwekezaji katika sekta ya madini
Tume ya Madini imeendelea kunadi fursa mbalimbali za uwekezaji katika sekta ya madini kupitia ushiriki wake kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea kufanyika katika Viwanja vya Chinangali, jijini Dodoma. Akizungumza wakati wa kutoa elimu kwa wananchi waliotembelea…
EWURA yajidhatiti kutoa Huduma Bora kwa Umma katika Wiki ya Utumishi wa Umma
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Katika kuadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma mwaka 2025, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imesisitiza dhamira yake ya kutoa huduma bora, zenye kuzingatia weledi, uwazi, uwajibikaji na matumizi bora ya teknolojia kwa…
Newta kuleta mageuzi sekta ya ujenzi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kampuni tanzu ya Huaxin Group, Maweni Limestone (MLL-Tanzania), imepiga hatua kubwa kibiashara kwa kuzindua bidhaa mpya ya saruji ijulikanayo kama ‘Newta’ inayotarajiwa kuboresha sekta ya ujenzi nchini.⁸ Haya yanajiri wakati miradi mingi ya…