JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Dk Mpango awataka wana Tabora kuboresha taarifa zao za Mpiga Kura na kushiriki chaguzi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora MAKAMU wa Rais Dkt Philip Mpango amewataka wananchi wa Nzega mkoani Tabora kuhakikisha wanajitokeza kwa wingi katika uboreshaji wa taarifa za Mpiga Kura na kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Pia amehimiza chaguzi hizo kudumisha…

Bashungwa – Serikali itahakikisha barabara ya lami Msangani inakamilika

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza Serikali itahakikisha inakamilisha na kusimamia ujenzi wa kipande kilichobaki cha barabara inayoelekea Msangani kwa kiwango cha lami, ili kurahisisha usafiri na usafirishaji. Kutokana na hilo amemuagiza Meneja wa Wakala…

Rais Samia aiwezesha REA kutoa ruzuku bei mitungi ya gesi

📌REA kusambaza mitungi ya gesi 3,225 Gairo 📌Yaendelea kugawa majiko banifu kwa wananchi 📌Wananchi wapewa elimu matumizi ya nishati safi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa ruzuku ya bei kwenye mitungi ya gesi…

Asilimia 50 ya mkaa mbadala unaotumika hauna ubora

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam UTAFITI uliofanywa na Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Tanzania (TIRDO) umebainisha kuwa asilimia 50 ya mkaa mbadala unaotumiwa katika maeneo mbalimbali hauna ubora. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mkuu wa TIRDO, Profesa…

‘Mahakama ina nafasi kuboresha Sheria ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi’

Na Mary Gwera, Mahakama-Arusha Mahakama ya Rufani Tanzania inayo nafasi ya kuboresha Sheria ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kupitia Rufaa zinazokatwa na wafanyakazi ambao hawakuridhishwa na maamuzi ya Mahakama Kuu yanayohusu fidia kwa wafanyakazi wanaoumia au kupata magonjwa…

Naibu Waziri Kapinga ashiriki Jukwaa la Mawaziri nchini Afrika Kusini

📌 Lengo ni kutangaza fursa za uwekezaji kwenye Mafuta, Gesi Asilia na Nishati Mbadala Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga ameshiriki Jukwa la Mawaziri (Ministerial Symposium) nchini Afrika Kusini ikiwa ni sehemu Kongamano la Wiki ya Mafuta Afrika (Afrika Oil…