JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Dimwa awasihi wana Katavi kutekeleza haki zao za msingi kwa kuipa kura CCM

MLEZI wa Mkoa wa Katavi ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM ),Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa, amewasihi wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi mkoani humo kujitokeza kwa wingi kutekeleza haki zao za msingi ya kwa…

Waziri Mkuu Majaliwa apongeza mchango wa sekta ya madini nchini

Na Richard Mrusha, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ameipongeza Wizara ya Madini kwa juhudi mbalimbali inazofanya za kuiendeleza Sekta ya Madini kufikia asilimia 9.0 katika kuchangia kwenye Pato la Taifa huku…

BoT yafungia majukwaa , APP zinazotoa mikopo mitandaoni

Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa taarifa ikielezea kwamba imebaini kuwepo kwa majukwaa na programu tumizi zinazojihusisha na utoaji wa mikopo kidijitali bila kuwa na leseni au idhini kutoka kwa Benki Kuu.  Hali hii inahatarisha usalama wa wateja na ustawi…

Tanzania katika mikakati kukabili uvunaji haramu misitu

Tanzania  imetoa wito kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kuunganisha mifumo ya teknolojia katika ufuatiliaji na usafirishaji wa mazao ya misitu ili kupunguza tatizo la uvunaji na usafirishaji haramu.  Pia, inatarajia kushirikiana na wadau wa maendeleo ikiwemo Shirika la…

JTC yatembelea mto Malagarasi ambao ni sehemu ya mpaka wa Tanzania na Burundi

Kamati ya Pamoja ya Wataalamu ya Uimarishaji Mpaka wa Tanzania na Burundi (JTC) imetembelea Mto Malagarasi ambao ni sehemu ya mpaka wa kimataifa kati ya nchi hizo mbili ili kujionea hali halisi ya eneo hilo. Uamuzi wa kutembelea eneo hilo…

REA yawahakikishia upatikanaji mitungi ya gesi kilo sita nchini

📌Mitungi ya gesi zaidi ya 13,000 kusambazwa Songwe 📌Kila wilaya kupatiwa mitungi ya gesi 3,255 Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeingia mkataba na mtoa huduma kampuni ya Oryx Gas Tanzania Limited ambaye atahudumia wilaya zilizopo ndani ya Mkoa wa Songwe…