Category: MCHANGANYIKO
DAWASA yaanza kwa kishindo wiki ya huduma kwa wateja
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeanza Maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa kuwafikia wateja wake katika maeneo mbalimbali ya kihuduma katika Mikoa ya Dar es…
CRDB yazindua Chatbot wa Kidigitali aitwae ‘Elle’
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIKA kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja, Benki ya CRDB imezindua huduma mpya iitwayo ‘Elle’ ambayo ni huduma ya wateja wa kidijitali saa 24. Uzinduzi wa huduma hiyo umefanyika leo Oktoba 7, 2024…
Kesi ya ‘Afande’ yakwama, haijapangiwa hakimu
Na Isri Mohamed KESI inayomkabili ‘Afande’ Fatma Kigondo, imeahirishwa kwa maelezo kuwa bado haijapangiwa hakimu wa kuisikiliza, baada ya Hakimu Kishenyi aliyekuwa anaisikiliza awali kuhamishwa. Taarifa hiyo imetolewa na Wakili Peter Madeleka wakati akizungumza na waandishi wa habari ambapo amesema…
Hatimaye Boni Yai apewa dhamana
Na Isri Mohamed Aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Kinondoni na baadaye Ubungo, Dar es Salaam Boniface Jacob (Boni Yai), amepatiwa dhamana inayoendana na masharti yatakayowekwa kwenye shauri la msingi, ambalo sasa linaendelea. Dhamana hiyo imetolewa katika mahakama ya hakimu mkazi…
Miaka 60 ya Hifadhi ya Taifa Ruaha, Waziri Pinda azindua utalii wa puto
â– Maboresho makubwa ya Miundombinu ya Utalii yaja Na Happiness Shayo, JamhuriMedia, Iringa Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi,Dkt. Pindi Chana (Mb) amezindua rasmi utalii wa puto ikiwa ni Maadhimisho ya Miaka 60 ya Hifadhi ya Taifa Ruaha. Uzinduzi huo…
Nchimbi : Kuchoma nguo ni utoto, tuendelee kushirikiana na CCM
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amewahimiza Watanzania kuendelea kushirikiana na CCM, akisisitiza kuwa chama hicho kimeonyesha kwa vitendo uwezo wa kuongoza nchi na dhamira ya kuwahudumia wananchi wanyonge. Dkt. Nchimbi alitoa kauli hiyo…