Category: MCHANGANYIKO
Zanzibar yachota uzoefu Dodoma, yajiandaa kujenga mji wa Serikali Kisakasaka
Kamati ya wataalamu kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Ikiingozwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Dkt. Islam Seif Salum imetembelea miradi mikubwa jijini Dodoma ikiwemo Mji wa Serikali Mtumba na Uwanja wa Ndege wa…
Jeshi la Magereza Mwanza laeleza njia bora ya kuwaandaa wafungwa kuwa raia wema
Na Hellen Mtereko,Mwanza Jeshi la magereza Mkoani Mwanza limeeleza njia bora ya kuwaandaa wafungwa ili wawe raia wema uraiani ni kwa kuwajengea misingi ya stadi za kimaisha wanapokuwa magerezani. Wito huo umetolewa jana na Mkuu wa Magereza Mkoani Mwanza, Masudi…
Tuendelee kumuunga mkono Rais kwa kubuni vyanzo vipya vya mapato – โRAS Mnyema
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Katika juhudi za kuimarisha maendeleo na kuongeza mapato ya ndani, Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Pili Mnyema, ametoa rai kwa watendaji wa Manispaa na Halmashauri kuwa wabunifu katika kusimamia miradi ya maendeleo, akisema hilo…
Kaya 3,255 kunufaika na majiko ya gesi ya ruzuku Wilaya ya Mlele
๐Wananchi waipongeza Serikali kwa makati huo Wananchi Kijiji cha Usevya Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi wamepongeza hatua zinazochukuliwa na Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika kuhakikisha wanafikiwa na nishati safi ya kupikia kwa bei ya ruzuku. Wametoa pongezi…
Watanzania tusikubali uchaguzi utugawe- Dk Biteko
๐ Asema Kuna Maisha baada ya Uchaguzi ๐ Amwakilisha Rais Samia,miaka 40 Kanisa Anglikana Dayosisi ya Kagera ๐ Rais Samia achangia Tsh. Milioni 50 Ujenzi wa Kanisa Dayosisi ya Kagera ๐ Anglikana Waishukuru Serikali, washirika wa maendeleo Na Ofisi ya…