Category: MCHANGANYIKO
Diwani Kimwanga : Awataka wazazi kupuuza taarifa za kutekwa kwa watoto
Na Jumanne Magazi, JamhuriMedia, Dar es Salaam Diwani wa Kata ya Makulumla Wilaya ya Ubungo, Jijiji Dar es Salaam, Bakari Kimwanga, amesema kumekuwa na taarifa nyingi zinazohusiana na kutekwa kwa watoto wakiwa shuleni ambapo amesema taarifa hizo kuwa sio nyingi…
Dira mpya itafsiri maono ya Rais Samia
MKUU wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko amesema kupitia dira mpya anatamani viongozi kuangalia muelekeo wa Rais Samia Suluhu Hassan katika kutafsiri maono yake katika misingi ya ujenzi wa taifa lenye usawa, haki na uhuru wa watu. Bomboko amesema hayo…
BASATA yamfungia Babu wa Tiktok
Msanii wa Muziki wa Taarabu Seif Kisauji βBabu wa Tik tokβ afungiwa kufanya kazi za Sanaa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Miezi sita na kupigwa faini ya shilingi Milioni 3. Baraza la Sanaa la Taifa kupitia Sheria Na….
Ziara ya Dk Biteko Bukombe yawakosha wakazi
ZIARA YA DKT. BITEKO BUKOMBE YAWAKOSHA WAKAZI KATA NAMONGE π Waipongeza Serikali ya Rais Samia kuboresha huduma za jamii π Waomba kujengewa Barabara kusafirisha mazao π Dkt. Biteko aagiza kukamilishwa, kutumika Zahanati Kijiji Ilyamchele π Awahakikishia ukarabati wa Barabara ipitike…