Category: MCHANGANYIKO
Mwenge wa uhuru wazindua miradi saba Temeke
Na Heri Shaaban, JamhuriMedia, Dar es Salaam MWENGE wa Uhuru umezindua miradi saba ya maendeleo Wilaya ya Temeke Mkoa wa Dar es salaam yenye thamani ya shilingi bilioni 17. Akizungumza mara baada kuzindua miradi hiyo ya maendeleo mkuu wa wilaya…
Serikali yakaribisha wawekezaji kwenye sekta ya tiba ya afya ya kinywa na meno
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Serikali imetoa wito kwa wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kuwekeza kwenye ujenzi wa viwanda vya kutengeneza vifaa tiba na dawa kwa ajili ya matibabu ya maradhi ya afya ya kinywa na meno,…
CCM inavyoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu ikiwa na mtaji mkubwa wa wapigakura
Na Dk. Reubeni Lumbagala, Tanga Kwa mwaka huu wa 2025, moja ya tukio kubwa kabisa katika kalenda ya nchi yetu ni uwepo wa Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba, 2025. Hili ni tukio la kidemokrasia na la kikatiba ambapo Watanzania…





