Category: MCHANGANYIKO
TISEZA yawakaribishwa wawekezaji Kwala mkoani Pwani
Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia,Pwani Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) imewataka wawekwzaji wazawa na wakigeni kwenda kuwekeza katika eneo kongani la viwanda Kwala mkoani Pwani. Rai hiyo imetolewa na kaimu meneja mawasiliano kwa umma na habari…
Serikali kuchukua mashamba,viwanda visivyoendelezwa
Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Media-Korogwe Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wizara ya Kilimo na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kufanya kazi ya kupitia mikataba ya mashamba yote ya mkonge ambayo hayaendelezwi ili yarudishwe…
Polisi waeleza kwa kina mwanafunzi aliyetekwa na kunyongwa, watekaji wataka mamilioni
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya SEPTEMBA 14, 2025 liliripotiwa tukio la kutekwa nyara kwa Shyrose Michael Mabula (21) aliyekuwa mwanachuo mwaka wa kwanza katika Chuo Kikuu cha Mzumbe ndaki ya Mbeya Kitivo cha Sheria na watu wasiofahamika, ambapo Septemba 16,…
Mgombea urais CCM ahaidi kufungua ukanda wa kaskazini kiuchumi, kukamilisha miradi ya kimkakati
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kukamilisha ujenzi wa daraja la Pangani na barabara ya Bagamoyo–Saadani–Pangani–Tanga, akisisitiza kuwa miradi hiyo ni ya kimkakati kwa kufungua ukanda wa…





