Category: MCHANGANYIKO
Waziri Mkuu amwakilisha Rais kwenye mazishi ya Jaji Mwanaisha Kwariko
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka udongo kwenye kaburi la Mheshimiwa Mwanaisha Kwariko ambaye alikuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani. Mheshimiwa Majaliwa alimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mazishi yaliyofanyika Kondoa, mkoani Dodoma, Desemba 30, 2024 (Picha na Ofisi ya…
Baraza la Mitihani Zanzibar latoa taarifa ya matokeo darasa la saba 2024
Na Sabiha Khamis, Maelezo Mkurugenzi Mtendaji Baraza la Mitihani la Zanzibar Dkt. Rashid Abdul-aziz Mukki amesema kwa mujibu wa matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba ya mwaka 2024 yanaonesha kuwa ufaulu umepanda kwa asilima 1.66 kutoka asilimia 95.00 ya…
Rais Samia amlilia mwanasheria mkuu mstaafu Jaji Werema
“Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mstaafu, Mheshimiwa Jaji Mstaafu Frederick Werema. Ninatoa pole kwa familia, Mheshimiwa Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Majaji, ndugu, jamaa na marafiki. Nawaombea kwa Mwenyezi Mungu awajalie subra na…
Naibu Katibu Muu Wizara ya Fedha ateta na Rais wa IIA -Tanzania
Na Josephine Majura, WF, Dodoma Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban, kwa niaba ya Katibu Mkuu, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani Tanzania (IIA), Dkt….
Songea waiomba Serikali kuboresha bustani ya wanyamapori Ruhila Zoo
Na Mwandishi Wetu, JamuriMedia, Songea WANANCHI wa Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma, wameishauri Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kuboresha Bustani ya wanyamapori Ruhila Zoo ili kushawishi na kuvutia watu wengi zaidi kwenda kutembelea bustani hiyo ya wanyama. Walisema,…
Mbaroni kwa wizi wa mtoto wa miezi miwili
Na Mwandish Wetu, JamhuriMedia, Mbeya Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Anna Mwakilima (24), mkazi wa Mbuyuni, Wilaya ya Mbarali kwa tuhuma za wizi wa mtoto mwenye umri wa miezi miwili na nusu (jina la mtoto tunalihifadhi). Kamanda wa…





