JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Serikali yaitaka NIDA kuboresha utendajikazi, yaipatia magari 140

Serikali imeipatia Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) magari mapya 140 ili kuboresha zaidi utendaji kazi wa Mamlaka hiyo, hatua ambayo imepokelewa kwa mikono miwili na hasa ikizingatiwa kuwa miongoni mwa changamoto kubwa zlizokuwa zikiikabili Mamlaka hiyo ilikuwa ni uhaba…

Dk Mpango amwakilisha Rais Samia mkutano wa SADC

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameshiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ Troika Summit)…

Polisi Pwani yachunguza mauaji ya watu wanne, miili yakutwa pembezoni mwa barabara

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Jeshi la Polisi mkoani Pwani linachunguza tukio la kutatanisha baada ya miili ya watu wanne wasiojulikana kupatikana pembezoni mwa barabara ya kutoka Mapinga kuelekea Kibaha, katika maeneo ya Kidimu-Vingunguti, wilayani Kibaha. Kwa mujibu wa Kamanda…

Wakulima wadogo zaidi ya 747 kunufaika na mradi wa umwagiliaji Geita

NIRC – Geita Zaidi ya wananchi 747 wanatarajiwa kunufaika na mradi wa uchimbaji visima vya Umwagiliaji 36 unaotekelezwa katika kijiji cha Mwilima Mkoani Geita, ambapo visima hivyo vitamwagilia zaidi ya ekari 1440 katika vijiji 32, lengo ikiwa ni kuongeza uzalishaji…

Vijana 50 wapatiwa elimu ya mpiga kura

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Zaidi ya vijana 50 kutoka vyuo vikuu na sekta mbalimbali wamepatiwa elimu ya mpiga kura ili kuongeza uelewa kuhusu umuhimu wa kushiriki katika uchaguzi na kuchagua viongozi bora watakaoliongoza taifa kwa amani na…

Dk Mpango : Makumbusho ya kisasa ya Ngorongoro kukuza utalii wa kihistoria

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Karatu MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, amezindua rasmi Makumbusho ya Urithi wa Kijiolojia ya Ngorongoro–Lengai, yaliyogharimu zaidi ya Sh. bilioni 35 ambayo yanatarajiwa kuongeza kasi ya ukuaji wa utalii…