JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Mafanikio ya usambazaji umeme, Mramba apongeza REA na TANESCO

📌Wakandarasi wa umeme wakaribishwa Zambia kutekeleza miradi Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba, amesema Tanzania imepiga hatua kubwa katika upatikanaji wa huduma ya umeme, kutoka hatua ya kusambaza umeme kwenye mikoa hadi kufikia ngazi…

Ili kufikia umeme wa megawati 8,000 ifikapo 2030 Ndejembi ataja vyanzo

Waziri wa Nishati, Mhe.Deogratius Ndejembi, amesema Serikali imejipanga kuongeza uzalishaji wa umeme kutoka megawati 4,300 za sasa hadi kufikia megawati 8,000 ifikapo mwaka 2030 kupitia utekelezaji wa miradi mbalimbali mikubwa ya uzalishaji wa umeme nchini. Amesema hayo akichangia Makadirio ya…

Madiwani Mpanda, Nsimbo waipongeza Serikali kwa uwekezaji kituo cha Kufua Umeme cha JNHPP

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani Madiwani wa Halmashauri za Wilaya za Mpanda na Nsimbo mkoani Katavi, wakiongozana na baadhi ya wabunge na viongozi wengine, wamepongeza uwekezaji mkubwa uliofanywa na Serikali katika Kituo cha Kufua Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) baada…

Mikoa minne kupata umeme wa gridi ndani ya mwaka wa fedha 2026/2027

Serikali imesema katika mwaka wa fedha 2026/2027 itatekeleza miradi mbalimbali ya umeme ikiwemo kuunganisha mikoa ya Lindi, Mtwara, Kagera na Rukwa kwenye gridi ya taifa ya umeme ili kuhakikisha wananchi wengi zaidi wanapata huduma hiyo nchini. Akichangia makadirio ya mapato…

Serikali yabadili gia, sasa kuwa rafiki wa biashara na sio wadhibiti -Kapinga

Na Mwandishi Wetu, JamhiriMedia, Dodoma Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga, amesema Serikali imebadili mtazamo katika kusimamia sekta ya viwanda na biashara kwa kuweka mkazo kwenye uwezeshaji badala ya udhibiti, akisisitiza kuwa taasisi zilizo chini ya wizara hiyo…

Prof. Shemdoe aelekeza bil.5.2/- za mradi wa LoCAL zitumike kwa malengo yaliyokusudiwa

Na OWM – TAMISEMI, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amazielekeza Halmashauri za wilaya ya Mkinga, Mafia, Mpwapwa, Kondoa, Chamwino, Mtwara, Mtama na Manispaa ya Kigamboni…