Category: MCHANGANYIKO
Mashindano ya kwanza ya mbio za roboti duniani zinazofanana na binadamu zafanyika China
Kwa mara ya kwanza duniani, China iliandaa nusu-marathon ya roboti zinazofanana na binadamu mjini Beijing siku ya Jumamosi. Katika tukio hili la kihistoria, roboti na binadamu walikimbia katika njia moja lakini kwa nyuso tofauti, ikiwa ni mara ya kwanza kushuhudiwa…
Hashim Lundenga, mratibu wa zamani wa Miss Tanzania afariki dunia
Tasnia ya urembo nchini imepata pigo kubwa kufuatia kifo cha Hashim Lundenga, maarufu kama “Uncle Hashim”, aliyefariki dunia leo jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa kipindi kirefu. Lundenga alikuwa mwanzilishi na Mkurugenzi wa Lino International Agency, kampuni iliyosimamia…
Watu 12,000 wahofiwa kuugua ugonjwa wa Himofilia nchini Tanzania
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar TAKWIMU zinaonyesha kati ya watu 6,000 hadi elfu 12,000 wanahofiwa kuugua ugonjwa wa himofilia nchini huku idadi ya watu waliogundulika kuwa na ugonjwa huo hadi sasa wakiwa ni 451 pekee. Hayo yalisemwa na Waziri wa…
Wakristo wahimizwa kusimamia haki, ukweli
VIONGOZI wa dini ya Kikristo katika Ibada ya Ijumaa Kuu wamewataka waumini kutafakari maisha yao kwa kina, kusimama katika ukweli, haki na kutubu dhambi kwa moyo wa toba ya kweli. Viongozi hao waliyasema hayo katika Ibada za Ijumaa Kuu zilizofanyika…
CHADEMA yathibitisha Lissu kuhamishiwa Gereza la Ukonga
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimethibitisha rasmi mahali alipo Mwenyekiti wake Taifa, Mheshimiwa Tundu Lissu, ambaye awali iliripotiwa kutoweka kutoka Gereza la Keko bila maelezo yoyote rasmi. Katika taarifa mpya iliyotolewa leo, Aprili 19, 2025, CHADEMA imesema kuwa baada…
Mgogoro wa ardhi JWTZ na wananchi, DC Serengeti awataka kuwa watulivu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Serengeti MKUU wa Wilaya ya Serengeti Kemlembe Ruota amesema kuwa wanasubiri taarifa kamili kutoka timu ya uchunguzi ya mgogoro wa ardhi uliopo kwa takribani miaka 17 kati wananchi wa Kata ya Kisaka na Jeshi la Wananchi…