Category: MCHANGANYIKO
Rushwa si sehemu ya utamaduni wa Mtanzania
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma TAASISI isiyo ya kiserikali ya Sauti ya wapinga rushwa ya “Anti Corruption Voices” ya Jijini hapa imesema licha ya juhudi zinazofanywa na Serikali kuipinga rushwa bado kuna haja ya kuendelea kuelimisha Jamii namna ya kuepukana…
Waziri Mkuu aamuru kukamatwa maafisa kwa ubadhilifu wa Fedha za Umma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza mashtaka ya haraka ya maafisa wanne kutoka Baraza la Manispaa ya Kigamboni na wafanyakazi wanne kutoka Akaunti ya Hazina Moja (TSA) katika Utawala wa Ofisi ya Rais na Serikali ya Mitaa (PO-RALG) kwa madai ya…
Mafuriko Cameroon wananchi wahamia nchi jirani ya Chad, Nigeria
Maafisa nchini Cameroon wamesema mafuriko ya karibuni yamesababisha watu 70,000 kutoka katika kambi za muda ambazo zilianzishwa na watu walioathiriwa na mafuriko kwenye mpaka wa kaskazini wa nchi hiyo na Chad na Nigeria. Baadhi ya watu walioathirika na mafuriko sasa…
Lukuvi avitembelea vyama 19 vya siasa vilivyo na usajili wa kudumu
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia,Dar es Salaam Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na uratibu William Lukuvi ameanza kufanya ziara yake kuvitembelea vyama vya siasa 19 vilivyosajiliwa ikiwa ni lengo kutambua shughuli zao wanazozifanya viongozi wa vyama hivyo sambamba…
Serikali ya Korea kudumisha uhusiano uliopo kati yao na Tanzania
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Korea imedhamiria kudumisha uhusiano mkubwa uliopo baina yao na Serikali ya Tanzania. Hatua hiyo imekuja wakati taifa la Korea likiazimisha sikukuu yake ya taifa ambayo imekuwa ikiadhimishwa kila mwaka….