Category: MCHANGANYIKO
NIRC na Kamati ya Bunge watembelea mradi wa umwagiliaji shamba la mbegu Ngaramtoni
Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imeshiriki ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kutembelea mradi wa miundombinu ya Umwagiliaji katika shamba la mbegu la Wakala wa Mbegu (ASA) lililopo Ngaramtoni, eneo lililowekewa miundombinu ya…
Wizara ya Nishati yataja vipaumbele vya bajeti ya mwaka 2025/ 2026
π Rukwa, Kagera, Lindi. Mtwara kuunganishwa na gridi ya Taifa. π Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kuendelea kuhamasishwa π Serikali kuendelea kuimarisha utendaji wa Taasisi, Mashirika chini ya Wizara ya Nishati, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe….
Dk Samia ametenda maajabu sekta ya nishati miaka minne ya uongozi – Dk Biteko
πMashine ya 9 yakabidhiwa, yakamilisha MW 2115 – JNHPP π Aitaka Jumuiya ya Wazazi ieleze Watanzania mafanikio ya Serikali π Asema kuongezeka kwa mahitaji ya umeme nchini kunachochea ukuaji wa viwanda π Atoa wito kwa Watanzania kuzingatia matumizi bora ya…
Tafakuri ya Siku ya Ukombozi SADC
Na Lookman Miraji.l Siku ya ukombozi wa nchi kusini mwa Afrika ni miongoni mwa siku muhimu zinazokumbukwa na jumuiya ya maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika SADC. Siku hii inabaki kuwa kumbukumbu bora ya kudumu katika mapinduzi ya kisiasa…
Vijiji vitano Mbulu Mjini kunufaika na Mradi wa Maji kupitia Program ya visima 900
Na Mary Margwe, JamhuriMwdia, Mbulu Vijiji vitano vya Gedamar, Qatesh, Landa, Murray na Nahasey katika Halmashauri ya Mji wa Mbulu Mkoani Manyara vinatarajia kunufaika na Mradi wa Maji kupitia Program ya visima 900 chini ya Wakala wa Maji na Usafi…
Dk. Slaa arejea, awaomba radhi CHADEMA
Na Ruja Masewa, JamhuriMedia, Mbeya Kufuatia mkwaruzano baina ya Dk. Wilbroad Slaa na CHADEMA, mara baada ya kuachiwa huru na Mahakama amesema, kuanzia leo Machi 23, 2025 anaanza kutangaza ‘No reforms, No Election’ (bila mabadiliko hakuna uchaguzi). Slaa alisema hayo…





