JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Uraia pacha ni hatari kwa usalama wa taifa letu

Na John Haule, JamhuriMedia, Arusha Wengi tuliofika elimu ya sekondari tumejifunza kwa kiasi maana ya uraia na dhana ya uraia pacha( dual citizenship) na katika nchi yetu Tanzania uraia wa Tanzania unasimamiwa na sheria ya mwaka 1995 sura namba 357…

Benjamin Netanyahu amfuta kazi Yoav Gallant, Waziri wa Ulinzi

Katika hatua iliyoibua gumzo kubwa, Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ametangaza mabadiliko makubwa serikalini kwa kumfuta kazi Waziri wa Ulinzi, Yoav Gallant, na kumteua Israel Katz kuchukua nafasi hiyo. Hatua hii inakuja katikati ya mzozo unaoendelea Gaza, ambapo Netanyahu…

AAT kushirikiana na kikosi cha usalama barabarani kutoa elimu kwa wanafunzi

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMediaDar es Salaam Elimu ya Usalama barabarani haina hudi kuwa ya lazima kutolewa kwa wanafunzi na ianzie ngazi ya chini yaani shule ya msingi ili kusaidia watoto kuondokana na changamoto ya ajali zinaweza kuwatokea wanapotoka majumbani kuelekea shuleni…

Miaka 60 ya Tanzania na China ni zaidi ya diplomasia

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Safari ya mahusiano kati ya mataifa mawili ya Tanzania na China imezidi kuvuka mipaka ya kidiplomasia hadi kufikia katika ngazi za juu zaidi ya uhusiano. Nchi hizo mbili ziko katika maadhimisho ya kusheherekea…

Bilioni 18 zimehusisha matengenezo miundombinu ya BRT si mradi wa Jangwani pekee

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam inatekeleza mradi wa matengenezo (maintenance) ya miundombinu ya mabasi yaendayo haraka (BRT) awamu ya kwanza chini ya mradi wa OPBRC (Output and Performance-Based…

Zaidi ya bilioni 11 kusambaza umeme vitongojini Shinyanga

📌Kunufaisha Kaya 2,970 katika Vitongoji 90 ndani ya Wilaya Tatu 📌RC Macha asema Umeme ni kipaumbele cha Rais Samia Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatekeleza mradi wa Shilingi Bilioni 11.18 wa kusambaza umeme katika vitongoji 90 utakaonufaisha Kaya…