JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Jeshi la Korea Kaskazini laingia Urusi

Msemaji wa Pentagon, Meja Jenerali Pat Ryder amesema kati ya wanajeshi 11,000 na 12,000 kutoka Korea Kaskazini tayari wamewasili nchini Urusi. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky  amesema kwa mujibu wa data za kijasusi zinaeleza kwamba  wanajeshi 11,000 wa Korea Kaskazini…

Mradi ufungaji mifumo ya umeme jua 20,000 mbioni kuanza

Imeelezwa kuwa, miradi ya ufungaji wa mifumo ya umeme jua ipatayo 20,000 ipo mbioni kuanza katika maeneo ya visiwani na makazi yaliyo vijijini ambayo hayajafikiwa na Gridi ya Taifa. Hayo yalibainishwa na Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA),…

Watumishi MSD,CRDB wabadilishana uzoefu na kujifunza utoaji huduma bora

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Katika hatua ya kuongeza ujuzi katika utoaji wa huduma kwa wateja Watumishi wa Bohari ya Dawa (MSD) wa Kurugenzi ya Ugavi wanaofanya kazi kwenye Idara ya Huduma kwa Wateja wametembelea Ofisi za Makao…

Tanzania kuwasilisha maandiko ya miradi ya dola bilioni moja COP29

Tanzania inatarajia kuwasilisha maandiko ya miradi mikubwa tisa ya kimkakati yenye thamani ya Dola za Marekani bilioni 1,433 katika Mkutano wa 29 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP29) utakaofanyika Baku, Azerbaijan kuanzia Novemba 11 hadi 22,…

Watoto 1500 kunufaika na matibabu ya moyo JKCI

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Watoto zaidi ya 1500 wanaokabiliwa na magonjwa ya moyo wanatarajia kunufaika na matibabu ya maradhi hayo kutoka kituo cha matibabu ya magonjwa moyo nchini JKCI. Hatua hiyo imekuja kupitia harambee maalumu ya kuchangia…