JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Kihenzile: Tanzania ipo tayari kushirikiana kudhibiti usalama wa vivuko

Na Jumanne Magazi, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amesema Tanzania iko tayari kuhakikisha inashirikiana na Jumuiya ya Kimataifa ili kudhibiti vyanzo vyote vinavyosababisha majanga na usalama kwenye vivuko vyote Nchini pamoja na kuweka mazingira salama…

Tanzania yahimiza ushirikiano nchi za SADC katika usimamizi wa misitu ya miombo

Serikali ya Tanzania imezihimiza nchi za ukanda wa SADC kushirikiana katika usimamizi wa Misitu ya Miombo kutokana na umuhimu wake kiuchumi, kijamii na katika uhifadhi mazingira. Kauli hiyo imetolewa leo Aprili 17,2024 na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah…

Wizara ya TAMISEMI yaomba trilioni 10.125

OR-TAMISEMI Ofisi ya Rais – TAMISEMI, taasisi zilizo chini yake, mikoa 26 ikijumuisha halmashauri 184 zimeomba Bunge kuidhinisha Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2024/25 yenye jumla ya shilingi trilioni 10.125. Kwa mwaka 2023/24, Ofisi ya Rais-TAMISEMI iliidhinishiwa bajeti…

Miaka 60 ya Muungano, Wizara ya Mambo ya ndani yajivunia kubadilisha mfumo wa ujenzi nyumba za askari

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Ndani ya kipindi cha miaka 60 ya Muungano ,Serikali imefanya uboreshaji mkubwa wa Ofisi na Makazi ya askari wa Vyombo vya Usalama vya Muungano na kubadilisha mfumo wa ujenzi wa nyumba za askari wa vyeo mbalimbali…

Tuliopewa dhamana kusimamia sekta ya ardhi tuwatendee haki wananchi – Waziri Slaa

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendelea ya Makazi, Jerry Slaa amewataka watumishi wa ardhi nchini, kuwa waadilifu na hofu ya Mungu kwa kutenda haki wakati wanaposuluhisha migogoro ya ardhi. Slaa ameyasema hayo mapema leo Aprili 15, 2024, wakati akifungua kliniki…

TAWA yaweka kambi Rufiji kutoa elimu namna ya kuepukana na madhara ya mamba na viboko

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Rufiji Timu ya maofisa uelimishaji kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imeweka kambi maalumu wilayani Rufiji yenye lengo la kutoa elimu ya namna ya kuepuka madhara yatokanayo na mamba na viboko kwa wananchi walioathiriwa…