Category: MCHANGANYIKO
Kuelekea Maadhimisho ya UKIMWI Duniani,Serikali yaeleza ushamiri wa VVU kitaifa kuwa ni asilimia 4.4
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma KUELEKEA maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani December Mosi mwaka huu, idadi ya watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi nchini inakadiriwa kuwa 1,540,000 kwa mwaka 2022/23 ukilinganisha na takribani watu 1,700,000 mwaka 2016/17 . Hayo yameelezwa leo…
TMDA yawashauri watoa huduma, wagonjwa kutoa taarifa za vifaa tiba visivyokidhi viwango
Na Stella Aron, JamhuriMedia, Dar es Salaan Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba Nchini (TMDA), Adam Fimbo amewataka waratibu wa Ufuatiliaji Usalama wa Dawa, Vifaa Tiba na Vitendanishi wameshauriwa kutoa taarifa za matukio na madhara ya vifaa…
EWURA yazawadia wahitimu bora Chuo cha cha Maji
Na Mwandishi Wetu Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imewazawadia wahitimu wawili bora wa Chuo cha Maji, Florence Theonist na Emmanuel Nyaki, kompyuta mpakato na fedha taslimu shilingi milioni sita (milioni 3 kwa kila mmoja) kama…
Mwili wa marehemu Lawrance Mafuru wawasili viwanja vya Karimjee Dar
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefika Karimjee kuongoza waombolezaji katika kutoa heshima za mwisho kwa marehemu Lawrence Mafuru, aliyekuwa karibu na Mtendaji wa Timu ya Mipango kabla ya kifo chake. Lawrence Mafuru alifariki dunia akiwa nchini India, ambako alikuwa akipatiwa matibabu….
Jela miaka 30 kwa kubaka mtoto
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Igunga Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Wilaya ya Igunga mkoani Tabora imemuhukumu Hamisi Ndari (33) mkazi wa kitongoji cha Mizanza, Kata ya Sungwizi kutumikia adhabu ya kifungo cha miaka 30 gerezani baada ya kupatikana na kosa…





