Category: MCHANGANYIKO
Miili ya wanajeshi wa Afrika Kusini waliouawa katika mapigano yarejea nyumbani
Taarifa zinaeleza kuwa takriban wanajeshi 800 waliripotiwa kupelekwa katika eneo la mzozo mapema wiki hii, lakini Jeshi la Afrika Kusini (SANDF) limekataa kuthibitisha rasmi taarifa hizo. Kwa mujibu wa Jeshi la Taifa la Afrika Kusini (South African National Defence Union),…
Mchengerwa awaweka kikaangoni wakurugenzi watoto kusomea chini ya mti
OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa, ameagiza tathmini ifanyike kubaini maeneo ambapo wanafunzi wanalazimika kusoma chini au kukaa chini ya miti. Pia, amewataka wakurugenzi wa halmashauri na wataalamu wao kuandikiwa barua za kujieleza juu ya hali…
Makamu wa Rais afanya mazungumzo na Balozi wa Uganda
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Uganda nchini Tanzania Mhe. Kanali Mstaafu Fred Mwesigye, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 13 Februari 2025….
Balozi Nchimbi : CCM kuendelea kuimarisha ushirikiano wa ndani na nje
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesisitiza dhamira yake ya kuendeleza na kuimarisha ushirikiano wa ndani na kimataifa chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. CCM ambacho ni chama tawala…
Esther Bulaya : Lissu ana uzoefu mkubwa wa uongozi
Mbunge wa Viti Maalumu, Esther Bulaya amekipongeza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa kuendesha uchaguzi wa ndani kwa uwazi na kufuata misingi ya demokrasia. Pongezi hizo amezitoa leo Februari 13, 2025 bungeni jijini Dodoma, wakati wa mjadala wa taarifa…





