JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Uchaguzi Mkuu: No Road, No Silaa

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu. Wiki iliyopita nimezungumzia suala la ukomo wa wabunge wa viti maalum na nikaisihi serikali iangalie uwezekano wa kutanua wigo ukomo uende na kwenye viti vya majimbo….

Mchengerwa : Daraja la uhoro ni mkombozi kwa wananchi Rufiji

OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa, amesema ujenzi wa Daraja la Muhoro utaleta ukombozi kwa wananchi wa Kata ya Muhoro, ambao kwa muda mrefu wamekumbwa na changamoto za usafiri na hata kupoteza maisha wanapovuka Mto Rufiji….

TANAPA itangazeni Hifadhi ya Mkomazi – Majaliwa

*Awataka wananchi kutumia fursa za kiuchumi zinazotokana na Utalii katika hifadhi hiyo. *Aiagiza Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuimarisha Mawasiliano. WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameiagiza Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kuanzisha programu za kutangaza vivutio vilivyopo katika…

WMA yajivunia mafanikio yake ikiwemo kuajiri wafanyakazi 186

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA), Alban Kihulla, amesema kuwa moja ya mafanikio makubwa na ya kihistoria ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka minne ya utawala wake ni kuajiri wafanyakazi…

Mwanasheria Mkuu wa Serikali ateta na wanasheria na mawakili Arusha

Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha Arusha .MWANASHERIA Mkuu wa serikali Hamza Johari amewataka Wanasheria na Mawakili wa serikali kuhakikisha wanatoa huduma zao kwa wakati na kuzingatia weledi na ubora ili wateja waweze kupata huduma kwa wakati. Ameyasema hayo leo jijini…