Category: MCHANGANYIKO
Mwanasiasa wa upinzani Malawi atuhumiwa kupanga njama ya kumuua rais
Kiongozi wa chama cha upinzani nchini Malawi ameshtakiwa kwa kupanga njama ya kumuua Rais wa nchi hiyo, Lazarus Chakwera. Patricia Kaliati, Katibu Mkuu wa chama cha UTM, alikamatwa wiki iliyopita kwa tuhuma za “kula njama na wengine kutenda kosa kubwa”….
Tanzania, Urusi kushirikiana kuendeleza utalii
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imekubaliana kushirikiana na Nchi ya Urusi katika kukuza na kuendeleza Sekta ya Utalii. Hayo yamebainika usiku wa Oktoba 28,2024 katika kikao kati ya Waziri wa Maliasili na…
Tunahitaji uchaguzi si uchafuzi TAMISEMI
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Leo zimesalia wiki tatu kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa (TAMISEMI). Chama Cha Mapinduzi (CCM) wiki iliyopita wamepiga kura za maoni na kupata wagombea watakaowawakilisha katika uchaguzi huo unaofanyika Novemba…
WFT yatoa elimu ya ukatili wa kijinsia kwa watumishi MNMA
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WATUMISHI wa Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere ( MNMA) wametakiwa kuwa sehemu ya mabadiliko na kuungana na jitihada zinazofanywa na Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan…
Dk Biteko ataka umoja, ushirikiano na ubunifu taasisi za nishati
📌 Asema Rais Samia anataka Ubunifu ili kusogeza huduma bora kwa wananchi 📌 Asisitiza utendaji kazi umuangalie Mtanzania wa kawaida anayeitegemea Serikali kubadili maisha 📌 Aagiza kila Taasisi kuwa na Vigezo vya Upimaji Utendaji Kazi 📌 Ataka Watendaji waache alama…





