Category: MCHANGANYIKO
Kwanini Serikali inashirikiana na sekta binafsi
Na Mwandishi wa OMH Dar es Salaam. Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) leo, Machi 5, 2026, imesema Serikali iliamua kushirikiana na sekta binafsi katika uendeshaji wa baadhi ya mashirika ili kuongeza ufanisi, mtaji na matumizi ya teknolojia katika kuendeleza…
Mikakati endelevu suluhisho kukabiliana na majanga ya dharura kiafya
Na Andrea Kadege, WAF-Korogwe Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga, Bw. Rashid Mchatta ameagiza kuwekwa kwa mikakati endelevu itakayoiwezesha jamii kukabiliana na majanga ya dharura yanayopelekea athari kiafya, kwa ufanisi zaidi. Bw. Mchatta ameyasema hayo leo Machi 05, 2026 wakati…
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kutekeleza Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kushirikiana na Wizara ya Katiba na Sheria ya Jamhuri ya Muungano Tanzania imefanikiwa kutekeleza kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kwa kuwafikisha huduma hiyo karibu na wananchi wa…
FCC, TCRA kufanya uchunguzi wa bando
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Kaimu Mkurugenzi wa Tume ya Ushindani (FCC), Khadija Ngasongwa, amesema taasisi kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) hiyo inafanya uchunguzi wa vifurushi vya mtandao (internet) ili kubaini kama wananchi wanarubuniwa katika gharama na…
Waajiri wafurahishwa kuanzishwa mfumo wa Taifa wa kielektroniki wa soko la ajira
Na. OWM – KAM (Dar es salaam) Waajiri kutoka Sekta Binafsi wamefurahishwa na kuipongeza Serikali kupitia Ofisi ya Wazifri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano kwa kuanzisha Mfumo wa Taifa wa Kielektroniki wa Taarifa za Soko la Ajira (NLMIS) wakieleza…
Prof. Shemdoe aipongeza Manispaa ya Temeke kwa mpango mkakati wa miaka
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI Mhe. Prof. Riziki Shemdoe ameipongeza Halmashauri ya Manispaa ya Temeke kwa kuandaa Mpango Mkakati wa Maendeleo wa miaka kumi ijayo, akisema ni hatua muhimu…





